Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ta Ha 20:46 قال لا تخافا انني معكما اسمع وارى ٤٦

Ukurasa 314 · Juzuu 16

قَالَ
لَا
تَخَافَآۖ
إِنَّنِي
مَعَكُمَآ
أَسۡمَعُ
وَأَرَىٰ
٤٦
Akasema: Msiogope! Hakika Mimi ni pamoja nanyi. Nasikia na ninaona.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Musa's fear of Fir`awn and Allah's strengthening Him

Allah, the Exalted, informs that Musa and Harun pleaded to Allah, expressing their grievance to him:

إِنَّنَا نَخَافُ أَن يَفْرُطَ عَلَيْنَآ أَوْ أَن يَطْغَى

(Verily, we fear lest he should hasten to punish us or lest he should transgress.) They mean

…

Musa's fear of Fir`awn and Allah's strengthening Him

Allah, the Exalted, informs that Musa and Harun pleaded to Allah, expressing their grievance to hi

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

25. (Musa) akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Nikunjulie kifua changu. 26. Na nirahisishie kazi yangu hii. 27. Na lifungue fundo lililo katika ulimi wangu. 28. Wapate kufahamu maneno yangu. 29. Na nipe msaidizi katika ahali zangu. 30. Harun, kaka yangu. 31. Kwake yeye niongeze nguvu zangu. 32. Na mshirikishe katika jambo langu hili. 33. Ili tukutakase kwa wingi. 34. Na tukutaje kwa wingi. 35. Hakika Wewe unatuona vyema. 36. Akasema: Hakika Umeshapewa maombi yako, ewe Musa! 37. Na hakika tulikwishakufanyia hisani mara nyingine. 38. Pale tulipomfunulia mama yako yaliyofunuliwa, 39. Ya kuwa mtie katika kisanduku, na kisha kitie mtoni, na mto utamfikisha ufukweni. Atamchukua adui yangu naye ni adui yake. Na nimekutilia mapenzi yanayotoka kwangu, na ili ulelewe machoni mwangu. 40. Dada yako alipokwenda na akasema: Je! Niwajulishe mtu wa kuweza kumlea? Basi tukakurejesha kwa mama yako ili macho yake yaburudike, wala asihuzunike. Na ulimuua mtu, nasi tukakuokoa katika dhiki, na tukakujaribu kwa majaribio mengi. Ukakaa miaka kwa watu wa Madyana. Kisha ukaja kama ilivyokadiriwa, ewe Musa! 41. Na nimekuteua kwa ajili ya nafsi yangu. 42. Nenda, wewe na ndugu yako, pamoja na ishara zangu, wala msichoke kunikumbuka. 43. Nendeni kwa Firauni. Hakika yeye amepindukia mipaka. 44. Mwambieni maneno laini, huenda akazingatia au akaogopa. 45. Wakasema: Ewe Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tunaogopa asije akapindukia mipaka juu yetu au kufanya jeuri. 46. Akasema: Msiogope! Hakika Mimi ni pamoja nanyi. Nasikia na ninaona. 47. Basi mwendeeni, na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola wako Mlezi! Basi waache Wana wa Israili watoke nasi, wala usiwaadhibu. Sisi tumekuletea ishara itokayo kwa Mola wako Mlezi. Na amani iwe juu ya atakayefuata uongofu. 48. Hakika tumefunuliwa sisi kwamba hakuna shaka adhabu itampata anayekadhibisha na akapuuza

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia